Job 15:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri aache kutumainia upuuzi na kujidanganya, maana upuuzi ndio utakaokuwa tuzo lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asijidanganye mwenyewe kutumainia ubatili, kwa kuwa hatapata malipo yoyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asiutumainie ubatili, na kujidanganya; Kwa kuwa huo ubatili ndio utakaokuwa ujira wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri aache kutumainia upuuzi na kujidanganya, maana upuuzi ndio utakaokuwa tuzo lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asijidanganye mwenyewe kutumainia ubatili, kwa kuwa hatapata malipo yo yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asijidanganye mwenyewe kutumainia ubatili, kwa kuwa hatapata malipo yoyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asiutumainie ubatili, na kujidanganya; Kwa kuwa huo ubatili ndio utakaokuwa ujira wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri aache kutumainia upuuzi na kujidanganya, maana upuuzi ndio utakaokuwa tuzo lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asitegemee mambo yaliyo ya bure, maana atadanganyika, nayo yatakayokuwa malipo yake yatakuwa ya bure.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asiutumainie ubatili, na kujidanganya; Kwa kuwa huo ubatili ndio utakaokuwa ujira wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aache kutumainia udanganyifu, maana udanganyifu ndio utakaokuwa zawadi yake.