Job 15:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote wasiomcha Mungu hawatapata watoto, moto utateketeza mahema ya wala rushwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa jamii ya wasiomcha Mungu watakuwa tasa, nao moto utateketeza mahema ya wale wanaopenda rushwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa jamii ya hao wasiomcha Mungu watakuwa tasa, Na moto utateketeza mahema yenye rushwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote wasiomcha Mungu hawatapata watoto, moto utateketeza mahema ya wala rushwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa jamii ya wasiomcha Mungu watakuwa tasa, nao moto utateketeza hema za wale wanaopenda rushwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa jamii ya wasiomcha Mungu watakuwa tasa, nao moto utateketeza hema za wale wanaopenda rushwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa jamii ya hao wasiomcha Mungu watakuwa tasa, Na moto utateketeza mahema yenye rushwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote wasiomcha Mungu hawatapata watoto, moto utateketeza mahema ya wala rushwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hivyo utakuwa mlango wake ambezaye Mungu, utakosa wazao wo wote, nao moto utayala mahema yao waliowapenyezea watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa jamii ya hao wasiomcha Mungu watakuwa tasa, Na moto utateketeza mahema yenye rushwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote wasiomwogopa Mungu hawatapata watoto, moto utateketeza mahema ya wanaokula kituliro.