Job 15:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanatunga udanganyifu na kuzaa uovu. Mioyo yao hupanga udanganyifu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hutunga mimba ya madhara na kuzaa uovu; tumbo zao huumba udanganyifu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wao hutunga mimba ya madhara, na kuzaa uovu, Nalo tumbo lao hutengeza udanganyifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanatunga udanganyifu na kuzaa uovu. mioyo yao hupanga udanganyifu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hutunga mimba ya madhara na kuzaa uovu, matumbo yao huumba udanganyifu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hutunga mimba ya madhara na kuzaa uovu; matumbo yao huumba udanganyifu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wao hutunga mimba ya madhara, na kuzaa uovu, Na mioyo yao hutunga udanganyifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanatunga udanganyifu na kuzaa uovu. Mioyo yao hupanga udanganyifu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mateso ndio mimba zao, kwa hiyo huzaa maovu, hivyo matumbo yao hutoa udanganyifu. Iyobu akajibu akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wao hutunga mimba ya madhara, na kuzaa uovu, Nalo tumbo lao hutengeza udanganyifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanatunga udanganyifu na kuzaa uovu. Mioyo yao inapanga udanganyifu.