Job 15:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wewe unapuuza uchaji wa Mungu; na kuzuia kutafakari mbele ya Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini unadhoofisha hata uchaji wa Mungu na kuzuia ibada mbele za Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, wewe waondoa kicho, Nawe wazuia ibada mbele za Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wewe unapuuza uchaji wa Mungu; na kuzuia kutafakari mbele ya Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini unadhoofisha hata uchaji wa Mungu na kuzuia ibada mbele za Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini unadhoofisha hata uchaji wa Mungu na kuzuia ibada mbele za Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, wewe wapuuza hofu ya Mungu, Nawe wazuia ibada mbele za Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wewe unapuuza uchaji wa Mungu; na kuzuia kutafakari mbele ya Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wewe unatangua kicho kiwacho chote, nayo mawazo ya kumnyenyekea Mungu unayabeua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, wewe waondoa kicho, Nawe wazuia ibada mbele za Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wewe, woga wa Mungu si ndani yako; nawe unakataa kufikiri mbele ya Mungu.