Job 15:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uovu wako ndio unaokifundisha kinywa chako, nawe wachagua kusema kama wadanganyifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dhambi yako inasukuma kinywa chako, nawe umechagua ulimi wa hila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani uovu wako unakufundisha kinywa chako, Nawe wachagua ulimi wake mwenye hila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uovu wako ndio unaokifundisha kinywa chako, nawe wachagua kusema kama wadanganyifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Dhambi yako inasukuma kinywa chako, nawe umechagua ulimi wa hila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dhambi yako inasukuma kinywa chako, nawe umechagua ulimi wa hila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani uovu wako unakufundisha kinywa chako, Nawe wachagua ulimi wake mwenye hila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uovu wako ndio unaokifundisha kinywa chako, nawe wachagua kusema kama wadanganyifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Manza, ulizozikora, zinakifunza kinywa chako, ukachagua ulimi usemao yenye ujanja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani uovu wako unakufundisha kinywa chako, Nawe wachagua ulimi wake mwenye hila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uovu wako ndio unaongoza kinywa chako, nawe unachagua kusema kama wadanganyifu.