Job 15:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maneno yako mwenyewe yanakuhukumu, sio mimi; matamshi yako yashuhudia dhidi yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kinywa chako mwenyewe kinakuhukumu, wala si changu; midomo yako mwenyewe inashuhudia dhidi yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kinywa chako mwenyewe chakuhukumia makosa, wala si mimi; Naam, midomo yako mwenyewe hushuhudia juu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maneno yako mwenyewe yanakuhukumu, sio mimi; matamshi yako yashuhudia dhidi yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kinywa chako mwenyewe kinakuhukumu, wala si changu; midomo yako mwenyewe inashuhudia dhidi yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kinywa chako mwenyewe kinakuhukumu, wala si changu; midomo yako mwenyewe inashuhudia dhidi yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kinywa chako mwenyewe chakuhukumia makosa, wala si mimi; Naam, midomo yako mwenyewe hushuhudia juu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maneno yako mwenyewe yanakuhukumu, sio mimi; matamshi yako yashuhudia dhidi yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kinachokuumbua kuwa mwovu, si mimi, ni kinywa chako, nayo midomo yako ndiyo inayokusuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kinywa chako mwenyewe chakuhukumia makosa, wala si mimi; Naam, midomo yako mwenyewe hushuhudia juu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maneno yako mwenyewe yanakuhukumu, sio mimi; masemi yako yanashuhudia juu yako.