Job 15:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, wewe ni mtu wa kwanza kuzaliwa? Je, wewe ulizaliwa kabla ya kuweko vilima?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Je, wewe ni mtu wa kwanza kuzaliwa? Ulizaliwa kabla ya vilima?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Wewe u mtu wa kwanza aliyezaliwa? Au, ulizawa wewe kabla ya milima?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, wewe ni mtu wa kwanza kuzaliwa? Je, wewe ulizaliwa kabla ya kuweko vilima?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Je, wewe ni mtu wa kwanza kuzaliwa? Ulizaliwa kabla ya vilima?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Je, wewe ni mtu wa kwanza kuzaliwa? Ulizaliwa kabla ya vilima?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Wewe u mtu wa kwanza aliyezaliwa? Au, ulizaliwa wewe kabla ya milima?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, wewe ni mtu wa kwanza kuzaliwa? Je, wewe ulizaliwa kabla ya kuweko vilima?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Mtu wa kwanza aliyezaliwa ni wewe? Au ulitoka tumboni mwa mama, milima ilipokuwa haijawa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Wewe u mtu wa kwanza aliyezaliwa? Au, ulizawa wewe kabla ya milima?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ndiwe mutu wa kwanza kuzaliwa? Wewe ulizaliwa mbele ya kuwa kwa vilima?