Job 15:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, ulipata kuweko katika halmashauri ya Mungu? au, wewe ndiwe peke yako mwenye hekima?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, wewe husikiliza mashauri ya siri ya Mungu? Je, wewe unaizuia hekima iwe yako mwenyewe?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Umesikia mashauri ya siri ya Mungu? Nawe je! Wazuia hekima iwe yako tu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, ulipata kuweko katika halmashauri ya Mungu? au, wewe ndiwe peke yako mwenye hekima?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, wewe husikiliza mashauri ya siri ya Mungu? Je, wewe unaizuia hekima iwe yako mwenyewe?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, wewe husikiliza mashauri ya siri ya Mungu? Je, wewe unaizuia hekima iwe yako mwenyewe?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Umesikiza ushauri wa siri ya Mungu? Nawe je! Wazuia hekima iwe yako tu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, ulipata kuweko katika halmashauri ya Mungu? au, wewe ndiwe peke yako mwenye hekima?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Ulizisikiliza njama za Mungu? Je? Ndiko, ulikouvuta werevu wa kweli, ukujie wewe?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Umesikia mashauri ya siri ya Mungu? Nawe je! Wazuia hekima iwe yako tu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulipata kuwa katika shauri la Mungu? Wewe ndiwe peke yako mwenye hekima?