Job 16:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wananidhihaki na kunicheka; makundi kwa makundi hunizunguka, na kunipiga makofi mashavuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wamenifumbulia vinywa vyao kunidhihaki; hunipiga shavuni mwangu kwa dharau, na kuungana pamoja dhidi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamenifumbulia vinywa vyao; Wamenipiga shavuni kwa kunitukana; Hujikutanisha pamoja juu yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wananidhihaki na kunicheka; makundi kwa makundi hunizunguka, na kunipiga makofi mashavuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wamenifumbulia vinywa vyao kunidhihaki, hunipiga shavuni mwangu kwa dharau, na kuungana pamoja dhidi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wamenifumbulia vinywa vyao kunidhihaki; hunipiga shavuni mwangu kwa dharau, na kuungana pamoja dhidi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamenifumbulia vinywa vyao; Wamenipiga shavuni kwa kunitukana; Hukutana pamoja juu yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wananidhihaki na kunicheka; makundi kwa makundi hunizunguka, na kunipiga makofi mashavuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wako wanaoniasamia vinywa vyao, wakanipiga mashavu na kunitukana, wote pia wakakusanyika kunijia mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamenifumbulia vinywa vyao; Wamenipiga shavuni kwa kunitukana; Hujikutanisha pamoja juu yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wanafungua vinywa vyao na kunichekelea. Makundi kwa makundi wananizunguka na kunipiga makofi kwenye mashavu.