Job 16:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu amenitia mikononi mwa wajeuri, na kunitupa mikononi mwa waovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu amenigeuzia kwa watu wapotovu, na kunitupa katika makucha ya waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu amenitia kwa hao wapotovu, Na kunitupa mikononi mwao waovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu amenitia mikononi mwa wajeuri, na kunitupa mikononi mwa waovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu amenigeuzia kwa watu wabaya na kunitupa katika makucha ya waovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu amenigeuzia kwa watu wabaya, na kunitupa katika makucha ya waovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu amenitia kwa hao wapotovu, Na kunitupa mikononi mwao waovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu amenitia mikononi mwa wajeuri, na kunitupa mikononi mwa waovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu akanifunga, kisha akanitoa, wao wanipotoe, akanitia mikononi mwao wasiomcha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu amenitia kwa hao wapotovu, Na kunitupa mikononi mwao waovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu amenitia katika mikono ya wapotovu na kunitupa katika mikono ya waovu.