Job 16:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilikuwa nimestarehe, lakini akanivunjavunja, alinikaba shingo na kunipasua vipandevipande; alinifanya shabaha ya mishale yake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mambo yote yalikuwa mazuri, lakini alinivunjavunja; amenikamata shingo na kuniponda. Amenifanya mimi kuwa shabaha yake;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nilikuwa katika raha, naye akanivunja-vunja; Naam, amenishika shingo, na kuniponda; Tena amenisimamisha niwe shabaha yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilikuwa nimestarehe, lakini akanivunjavunja, alinikaba shingo na kunipasua vipandevipande; alinifanya shabaha ya mishale yake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mambo yote yalikuwa mazuri, lakini alinivunjavunja, amenikamata shingo na kuniponda. Amenifanya mimi kuwa shabaha yake;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mambo yote yalikuwa mazuri, lakini alinivunjavunja; amenikamata shingo na kuniponda. Amenifanya mimi kuwa shabaha yake;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilikuwa katika raha, naye akanivunjavunja; Naam, amenishika shingo, na kuniponda; Tena amenisimamisha niwe shabaha yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilikuwa nimestarehe, lakini akanivunjavunja, alinikaba shingo na kunipasua vipandevipande; alinifanya shabaha ya mishale yake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalikaa na kutengemana, mara akaniponda, akanikamata shingoni, akanibwaga mwambani, kisha akanisimamisha tena, niwe shabaha yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nilikuwa katika raha, naye akanivunja-vunja; Naam, amenishika shingo, na kuniponda; Tena amenisimamisha niwe shabaha yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilikuwa nimestarehe, lakini akanivunjavunja. Alinikamatia katika shingo na kunipasua vipandevipande. Akanifanya shabaha ya mishale yake,