Job 16:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akanipiga mishale kutoka kila upande. Amenipasua figo bila huruma, na nyongo yangu akaimwaga chini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wapiga upinde wake wananizunguka. Bila huruma, huchoma figo zangu, na kuimwaga nyongo yangu juu ya nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wapigaji wake wa mishale hunizingira kotekote, Hunipasua viuno vyangu, asinihurumie; Nyonga zangu amezimwaga juu ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akanipiga mishale kutoka kila upande. Amenipasua figo bila huruma, na nyongo yangu akaimwaga chini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wapiga upinde wake wananizunguka. Bila huruma, huchoma figo zangu na kuimwaga nyongo yangu juu ya nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wapiga upinde wake wananizunguka. Bila huruma, huchoma figo zangu, na kuimwaga nyongo yangu juu ya nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wapigaji wake wa mishale hunizingira kotekote, Hunipasua figo zangu, asinihurumie; Nyonga zangu amezimwaga juu ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akanipiga mishale kutoka kila upande. Amenipasua figo bila huruma, na nyongo yangu akaimwaga chini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wapigaji wake wa mishale wakanizunguka, wakanipasua mafigo yangu pasipo huruma, nayo maji yangu ya nyongo wakayamwaga chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wapigaji wake wa mishale hunizingira kotekote, Hunipasua viuno vyangu, asinihurumie; Nyonga zangu amezimwaga juu ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akanipiga mishale kutoka kila upande. Amenipasua figo bila huruma, na nyongo yangu akaimwanga chini.