Job 16:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nimejishonea mavazi ya gunia, fahari yangu nimeibwaga mavumbini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nimejishonea gunia juu ya mwili wangu, nami nimezika paji la uso wangu kwenye vumbi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimeshona nguo ya magunia juu ya mwili wangu, Na pembe yangu nimeidhili uvumbini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nimejishonea mavazi ya gunia, fahari yangu nimeibwaga mavumbini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nimejishonea nguo ya gunia juu ya mwili wangu nami nimekizika kipaji cha uso wangu kwenye vumbi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nimejishonea nguo ya gunia juu ya mwili wangu nami nimekizika kipaji cha uso wangu kwenye vumbi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimeshona nguo ya magunia juu ya mwili wangu, Na nguvu zangu nimezibwaga mavumbini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nimejishonea mavazi ya gunia, fahari yangu nimeibwaga mavumbini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Gunia la kuifunika ngozi ya mwili wangu ndilo, nililojishonea, nayo pembe yangu nikaichomeka uvumbini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimeshona nguo ya magunia juu ya mwili wangu, Na pembe yangu nimeidhili uvumbini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimejishonea nguo za gunia; utukufu wangu nikautupa katika mavumbi.