Job 16:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ingawa sijafanya dhuluma kwa mkono wangu, na sala zangu kwa Mungu ni safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo mikono yangu haijafanya jeuri, na maombi yangu ni safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ijapokuwa hapana jeuri mikononi mwangu, Na kuomba kwangu ni safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ingawa sijafanya dhuluma kwa mkono wangu, na sala zangu kwa Mungu ni safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hata hivyo mikono yangu haijafanya jeuri na maombi yangu ni safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo mikono yangu haijafanya jeuri, na maombi yangu ni safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ijapokuwa hakuna udhalimu mikononi mwangu, Na kuomba kwangu ni safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ingawa sijafanya dhuluma kwa mkono wangu, na sala zangu kwa Mungu ni safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena mikononi mwangu hamna ukorofi, nayo maombo yangu hutakata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ijapokuwa hapana jeuri mikononi mwangu, Na kuomba kwangu ni safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ingawa sijatesa watu kwa mukono wangu, na maombi yangu kwa Mungu ni safi.