Job 16:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ewe dunia, usiifunike damu yangu iliyomwagika; kilio changu kienee kila mahali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ee nchi, usiifunike damu yangu, nacho kilio changu kisinyamazishwe kamwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee nchi, usiifunike damu yangu, Na kilio changu kisipate mahali pa kupumzika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ewe dunia, usiifunike damu yangu iliyomwagika; kilio changu kienee kila mahali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ee nchi, usiifunike damu yangu, nacho kilio changu kisinyamazishwe kamwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ee nchi, usiifunike damu yangu, nacho kilio changu kisinyamazishwe kamwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee nchi, usiifunike damu yangu, Na kilio changu kisipate mahali pa kupumzika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ewe dunia, usiifunike damu yangu iliyomwagika; kilio changu kienee kila mahali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiifunike damu yangu, wewe nchi, wala malalamiko yangu yasipate kituo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee nchi, usiifunike damu yangu, Na kilio changu kisipate mahali pa kupumzika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ewe dunia, usifunike damu yangu iliyomwangika; kilio changu kienee kila pahali.