Job 16:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Rafiki zangu wanidharau; nabubujika machozi kumwomba Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwombezi wangu ni rafiki yangu macho yangu yanapomwaga machozi kwa Mungu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Rafiki zangu hunidharau; Lakini jicho langu humwagia Mungu machozi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Rafiki zangu wanidharau; nabubujika machozi kumwomba Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwombezi wangu ni rafiki yangu macho yangu yamwagapo machozi kwa Mungu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwombezi wangu ni rafiki yangu macho yangu yamwagapo machozi kwa Mungu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Rafiki zangu hunidharau; Lakini jicho langu hummwagia Mungu machozi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Rafiki zangu wanidharau; nabubujika machozi kumwomba Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Rafiki zangu wananifyoza, lakini macho yangu hivyo, yanavyojaa machozi, humtazamia Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Rafiki zangu hunidharau; Lakini jicho langu humwagia Mungu machozi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Warafiki zangu wanizarau; ninatoa machozi kumwomba Mungu.