Job 16:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Laiti mtu angenitetea mbele ya Mungu, kama ifanyikavyo duniani kati za watu wawili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa niaba ya mtu anamsihi Mungu kama mtu anavyosihi kwa ajili ya rafiki yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Laiti angemtolea mtu hoja mbele ya Mungu, Amtetee na mwanadamu mbele ya jirani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Laiti mtu angenitetea mbele ya Mungu, kama ifanyikavyo duniani kati za watu wawili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa niaba ya mtu anamsihi Mungu kama mtu anavyosihi kwa ajili ya rafiki yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa niaba ya mtu anamsihi Mungu kama mtu anavyosihi kwa ajili ya rafiki yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Laiti angemtolea mtu hoja mbele ya Mungu, Amtetee na mwanadamu mbele ya jirani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Laiti mtu angenitetea mbele ya Mungu, kama ifanyikavyo duniani kati za watu wawili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye Mungu amwamulie mtu, ijapo ashindane naye, hata mwana wa Adamu akishindana na mwenzake, amkatie shauri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Laiti angemtolea mtu hoja mbele ya Mungu, Amtetee na mwanadamu mbele ya jirani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri mutu angenitetea mbele ya Mungu, kama vile inavyofanyika katika dunia kati ya watu wawili.