Job 16:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwisho wa maneno haya matupu ni lini? Au ni kitu gani kinachowachochea kujibu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, maneno yenu mengi yasiyo na maana hayana mwisho? Mna nini hata mwendelee kushindana kwa maneno?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Maneno yasiyo faida yatakuwa na mwisho? Au, kuna nini kinachokukasirisha, hata ukajibu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwisho wa maneno haya matupu ni lini? Au ni kitu gani kinachowachochea kujibu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, maneno yenu mengi yasiyo na maana hayana mwisho? Mna nini hata mwendelee kushindana kwa maneno?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, maneno yenu mengi yasiyo na maana hayana mwisho? Mna nini hata mwendelee kushindana kwa maneno?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Maneno yasiyo faida yatakuwa na mwisho? Au, kuna nini kinachokukasirisha, hata ukajibu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwisho wa maneno haya matupu ni lini? Au ni kitu gani kinachowachochea kujibu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maneno yaliyo kama upepo yamekwisha? Au kuna nini kinachokuchochea, ukinijibu hivyo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Maneno yasiyo faida yatakuwa na mwisho? Au, kuna nini kinachokukasirisha, hata ukajibu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwisho wa maneno haya ya bure ni wakati gani? Au ni kitu gani kinachowasukuma kujibu?