Job 16:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ningeweza kuwatia moyo kwa maneno yangu, na maneno yangu ya faraja yangewatuliza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kinywa changu kingewatia moyo; faraja kutoka mdomoni mwangu ingewaletea nafuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini ningewatia nguvu kwa kinywa changu, Na utuzo wa midomo yangu ungetuliza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ningeweza kuwatia moyo kwa maneno yangu, na maneno yangu ya faraja yangewatuliza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kinywa changu kingewatia moyo; faraja kutoka midomoni mwangu, ingewaletea nafuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kinywa changu kingewatia moyo; faraja kutoka midomoni mwangu, ingewaletea nafuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini ningewatia nguvu kwa kinywa changu, Na maliwazo ya midomo yangu yangewatuliza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ningeweza kuwatia moyo kwa maneno yangu, na maneno yangu ya faraja yangewatuliza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kwa maneno ya kinywa changu ningewatia nguvu, nayo midomo yangu ingewatuliza mioyo kwa kuwakingia maovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini ningewatia nguvu kwa kinywa changu, Na utuzo wa midomo yangu ungetuliza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ningeweza kuwatia moyo kwa maneno yangu, na maneno yangu ya faraja yangewatuliza.