Job 16:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini nikisema maumivu yangu hayatulii, na nikikaa kimya hayaondoki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini nikisema, maumivu yangu bado hayatulizwi; na nikijizuia, bado hayaondoki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nijapokuwa nanena, huzuni yangu haitulizwi; Nijapokuwa najizuia, nimepunguziwa kitu gani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini nikisema maumivu yangu hayatulii, na nikikaa kimya hayaondoki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini kama nikisema, maumivu yangu bado hayatulizwi, nami kama nikijizuia, wala hayaondoki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini kama nikisema, maumivu yangu bado hayatulizwi; nami kama nikijizuia, wala hayaondoki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nijapokuwa nanena, huzuni yangu haitulizwi; Nijapokuwa najizuia, nimepunguziwa kitu gani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini nikisema maumivu yangu hayatulii, na nikikaa kimya hayaondoki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini maumivu yangu hayazuiliki, ijapo niseme; tena kuna nini ninayopungukiwa, nikiacha kusema?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nijapokuwa nanena, huzuni yangu haitulizwi; Nijapokuwa najizuia, nimepunguziwa kitu gani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini nikisema maumivu yangu hayatulii, na nikikaa kimya hayaondoki.