Job 16:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amenirarua kwa hasira na kunichukia; amenisagia meno; na adui yangu ananikodolea macho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu amenishambulia na kunirarua katika hasira yake, na kunisagia meno yake; adui yangu hunikazia macho yake makali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amenirarua katika ghadhabu zake, na kunionea; Amesaga-saga meno juu yangu; Mtesi wangu hunikazia macho makali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amenirarua kwa hasira na kunichukia; amenisagia meno; na adui yangu ananikodolea macho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu amenishambulia na kunirarua katika hasira yake na kunisagia meno yake; adui yangu hunikazia macho yake makali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu amenishambulia na kunirarua katika hasira yake, na kunisagia meno yake; adui yangu hunikazia macho yake makali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amenirarua katika ghadhabu zake, na kunionea; Amesagasaga meno juu yangu; Mtesi wangu hunikazia macho makali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amenirarua kwa hasira na kunichukia; amenisagia meno; na adui yangu ananikodolea macho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukali wake ukaninyafua kwa kunionea tu, nayo meno yake huyatumia ya kunikerezea, akanikazia macho yake makali, yeye mpingani wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amenirarua katika ghadhabu zake, na kunionea; Amesaga-saga meno juu yangu; Mtesi wangu hunikazia macho makali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amenirarua kwa hasira na kunichukia, amenisagia meno, na adui yangu ananitonolea macho.