Job 17:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nyinyi njoni, njoni nyote tena, kwenu sitampata mwenye hekima hata mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini ninyi njooni, ninyi nyote, jaribuni tena! Sitampata mtu mwenye hekima miongoni mwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini rudini; ninyi nyote, njoni sasa; Wala sitampata mtu mwenye hekima kati yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nyinyi njoni, njoni nyote tena, kwenu sitampata mwenye hekima hata mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini ninyi njoni, ninyi nyote, jaribuni tena! Sitampata mtu mwenye hekima miongoni mwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini ninyi njooni, ninyi nyote, jaribuni tena! Sitampata mtu mwenye hekima miongoni mwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini rudini; ninyi nyote, njoni sasa; Wala sitampata mtu mwenye hekima kati yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nyinyi njoni, njoni nyote tena, kwenu sitampata mwenye hekima hata mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi nyote rudini, mje kwangu, ingawa nisione aliye mwerevu wa kweli miongoni mwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini rudini; ninyi nyote, njoni sasa; Wala sitampata mtu mwenye hekima kati yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninyi mukuje, mukuje wote tena. Kwenu sitamupata mwenye hekima hata mumoja.