Job 17:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Siku zangu zimekwisha, mipango yangu imevunjwa; matazamio ya moyo wangu yametoweka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku zangu zimepita, mipango yangu imevunjika, vivyo hivyo shauku za moyo wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zangu zimepita, makusudi yangu yamevunjika, Hata hayo niliyo nayo moyoni mwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Siku zangu zimekwisha, mipango yangu imevunjwa; matazamio ya moyo wangu yametoweka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku zangu zimepita, mipango yangu imevunjika, vivyo hivyo shauku za moyo wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku zangu zimepita, mipango yangu imevunjika, vivyo hivyo shauku za moyo wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zangu zimepita, makusudi yangu yamevunjika, Hata hayo niliyo nayo moyoni mwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Siku zangu zimekwisha, mipango yangu imevunjwa; matazamio ya moyo wangu yametoweka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zangu zimekwisha kupita, mawazo yangu nayo yamekwisha kukatika, tena ndiyo yaliyokuwa mapato ya moyo wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zangu zimepita, makusudi yangu yamevunjika, Hata hayo niliyo nayo moyoni mwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku zangu zimekwisha, mipango yangu imevunjwa, matazamio ya moyo wangu yametoweka.