Job 17:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa vile Kuzimu ndio nyumba yangu, na makao yangu yamo humo gizani;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama nyumba pekee ninayoitarajia ni kaburi, nikikitandika kitanda changu gizani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikitazamia kuzimu kuwa nyumba yangu; Nikitandika malazi yangu gizani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa vile Kuzimu ndio nyumba yangu, na makao yangu yamo humo gizani;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama nyumba pekee ninayoitarajia ni kaburi, kama nikikitandika kitanda changu gizani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama nyumba pekee ninayoitarajia ni kaburi, kama nikikitandika kitanda changu gizani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikitazamia kuzimu kuwa nyumba yangu; Nikitandika malazi yangu gizani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa vile Kuzimu ndio nyumba yangu, na makao yangu yamo humo gizani;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nakungojea kuzimu tu kuwa nyumba yangu, nukitandikie malalo yangu kwenye giza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikitazamia kuzimu kuwa nyumba yangu; Nikitandika malazi yangu gizani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama kuzimu kukiwa nyumba yangu, na makao yangu yako kule katika giza,