Job 17:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
je, nimebakiwa na tumaini gani? Ni nani awezaye kuona tumaini hilo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
liko wapi basi tarajio langu? Ni nani awezaye kuona tarajio lolote kwa ajili yangu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, tumaini langu li wapi? Na tumaini langu, ni nani atakayeliona?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
je, nimebakiwa na tumaini gani? Ni nani awezaye kuona tumaini hilo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
liko wapi basi tarajio langu? Ni nani awezaye kuona tarajio lolote kwa ajili yangu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
liko wapi basi tarajio langu? Ni nani awezaye kuona tarajio lolote kwa ajili yangu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, tumaini langu liko wapi? Na tumaini langu, ni nani atakayeliona?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
je, nimebakiwa na tumaini gani? Ni nani awezaye kuona tumaini hilo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo kingojeo changu kingine kiko wapi? kilicho kingojeo changu, yuko nani atakayekichungulia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, tumaini langu li wapi? Na tumaini langu, ni nani atakayeliona?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, nimebakiliwa na tumaini gani? Ni nani anayeweza kuona tumaini lile?