Job 17:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli wanaonidhihaki wamenizunguka, dhihaka zao naziona dhahiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika wenye mizaha wamenizunguka; macho yangu yamebaki kutazama uadui wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni kweli wako kwangu wenye kufanya dhihaka, Jicho langu hukaa katika kunifanyia uchungu kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli wanaonidhihaki wamenizunguka, dhihaka zao naziona dhahiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika wenye mizaha wamenizunguka, macho yangu yamebaki kutazama uadui wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika wenye mizaha wamenizunguka; macho yangu yamebaki kutazama uadui wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni kweli wako kwangu wenye kufanya dhihaka, Jicho langu hukaa katika kunifanyia uchungu kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli wanaonidhihaki wamenizunguka, dhihaka zao naziona dhahiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini na sasa yako masimango, wanayonitolea, nami sina budi kutazama tu kwa macho yangu, wakinitia uchungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni kweli wako kwangu wenye kufanya dhihaka, Jicho langu hukaa katika kunifanyia uchungu kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli wanaonichekelea wamenizunguka, matusi yao yananizuiza kulala.