Job 17:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ee Mungu, uwe mdhamini wangu mbele yako, maana hakuna mwingine wa kunidhamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ee Mungu, nipe dhamana unayodai. Ni nani mwingine atakayeweka dhamana kwa ajili yangu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nipe rehani basi, uwe dhamana kwa ajili yangu kwako wewe mwenyewe; Kuna nani atakayeniwekea dhamana?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ee Mungu, uwe mdhamini wangu mbele yako, maana hakuna mwingine wa kunidhamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ee Mungu, nipe dhamana unayodai. Ni nani mwingine atakayeweka dhamana kwa ajili yangu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ee Mungu, nipe dhamana unayodai. Ni nani mwingine atakayeweka dhamana kwa ajili yangu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nipe rehani basi, uwe dhamana kwa ajili yangu kwako wewe mwenyewe; Kuna nani atakayeniwekea dhamana?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ee Mungu, uwe mdhamini wangu mbele yako, maana hakuna mwingine wa kunidhamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nakuomba, jitoe mwenyewe kuniwia kole, kwani yuko wapi mwingine atakayepeana mikono na mimi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nipe rehani basi, uwe dhamana kwa ajili yangu kwako wewe mwenyewe; Kuna nani atakayeniwekea dhamana?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, ujitoe mwenyewe kuwa rehani kwa ajili yangu maana hakuna mwingine wa kujitoa kwa ajili yangu.