Job 17:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadamu umezifumba akili za rafiki zangu; usiwaache basi wanishinde.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umezifunga akili zao zisipate ufahamu, kwa hiyo hutawaacha wapate ushindi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani mioyo yao imeificha ufahamu; Kwa hiyo hutawakuza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadamu umezifumba akili za rafiki zangu; usiwaache basi wanishinde.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umezifunga akili zao zisipate ufahamu, kwa hiyo hutawaacha wapate ushindi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umezifunga akili zao zisipate ufahamu, kwa hiyo hutawaacha wapate ushindi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa umezifumba akili zao ufahamu; Kwa hiyo hutawaacha wanishinde.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadamu umezifumba akili za rafiki zangu; usiwaache basi wanishinde.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa umeuficha ubingwa, usije mioyoni mwao, kwa hiyo hutawaacha tu, wajikuze wenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani mioyo yao imeificha ufahamu; Kwa hiyo hutawakuza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umefumba akili za warafiki zangu; usiwaache basi wanishinde.