Job 17:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu anayewasaliti rafiki zake kwa faida watoto wake watakufa macho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtu akiwashutumu rafiki zake ili apate ujira, macho ya watoto wake yatashindwa kuona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Awafitiniye rafiki zake wawe mawindo, Hata macho ya watoto wake yataingia kiwi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu anayewasaliti rafiki zake kwa faida watoto wake watakufa macho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu akiwashutumu rafiki zake ili apate ujira, macho ya watoto wake yatashindwa kuona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu akiwashutumu rafiki zake ili apate ujira, macho ya watoto wake yatashindwa kuona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Awafitiniye rafiki zake wawe mawindo, Hata macho ya watoto wake yataingia kiwi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu anayewasaliti rafiki zake kwa faida watoto wake watakufa macho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akiwaalika wenziwe kugawanyiana fungu lake mwingine, ndipo, yatakapozimia macho yao wanawe huyo mtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Awafitiniye rafiki zake wawe mawindo, Hata macho ya watoto wake yataingia kiwi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu anayefitini warafiki zake kwa faida, watoto wake watakufa macho.