Job 17:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nimefanywa kuwa kichekesho kwa watu nimekuwa mtu wa kutemewa mate.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mungu amenifanya kitu cha dhihaka kwa kila mtu, mtu ambaye watu humtemea mate usoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amenifanya niwe simo kwa watu; Nimekuwa mwenye kuchukiwa kwa wazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nimefanywa kuwa kichekesho kwa watu nimekuwa mtu wa kutemewa mate.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mungu amenifanya kitu cha dhihaka kwa kila mtu, mtu ambaye watu humtemea mate usoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mungu amenifanya kitu cha dhihaka kwa kila mtu, mtu ambaye watu humtemea mate usoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amenifanya niwe mithali kwa watu; Nimekuwa mwenye kuchukiwa kwa wazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nimefanywa kuwa kichekesho kwa watu nimekuwa mtu wa kutemewa mate.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliyemweka kuwa fumbo la watu, ni mimi, mtu wa kutemewa mate usoni nitakuwa mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amenifanya niwe simo kwa watu; Nimekuwa mwenye kuchukiwa kwa wazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimefanywa kuwa kichekesho kwa watu, nimekuwa mutu wa kutemewa mate.