Job 17:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Macho yangu yamefifia kwa uchungu; viungo vyangu vyote vimekuwa kama kivuli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Macho yangu yamefifia kwa ajili ya majonzi; umbile langu lote ni kama kivuli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jicho langu nalo limekuwa giza kwa sababu ya majonzi, Na via vyangu vyote vimekuwa kama kivuli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Macho yangu yamefifia kwa uchungu; viungo vyangu vyote vimekuwa kama kivuli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Macho yangu yamefifia kwa ajili ya majonzi, umbile langu lote ni kama kivuli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Macho yangu yamefifia kwa ajili ya majonzi; umbile langu lote ni kama kivuli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jicho langu nalo limekuwa giza kwa sababu ya majonzi, Na viungo vyangu vyote vimekuwa kama kivuli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Macho yangu yamefifia kwa uchungu; viungo vyangu vyote vimekuwa kama kivuli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo macho yangu yameingiwa kiwi kwa majonzi, navyo viungo vyangu vyote pia viko kama kivuli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jicho langu nalo limekuwa giza kwa sababu ya majonzi, Na via vyangu vyote vimekuwa kama kivuli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Macho yangu yamefifia kwa ajili ya uchungu; viungo vyangu vyote vimekuwa kama kivuli.