Job 17:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanyofu wanaduwaa waonapo balaa langu, nao wasio na hatia hujichochea dhidi ya mtu wanayedhani hamchi Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wanyofu wanatishwa na hili; watu wasio na hatia wanasimama dhidi ya wasiomcha Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walekevu watayastaajabia hayo, Na asiye na hatia atajiamsha juu ya mpotovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanyofu wanaduwaa waonapo balaa langu, nao wasio na hatia hujichochea dhidi ya mtu wanayedhani hamchi Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wanyofu wanatishwa na hili; watu wasio na hatia wanasimama dhidi ya wasiomcha Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wanyofu wanatishwa na hili; watu wasio na hatia wanasimama dhidi ya wasiomcha Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanyofu watayastaajabia hayo, Na asiye na hatia atajiamsha juu ya mpotovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanyofu wanaduwaa waonapo balaa langu, nao wasio na hatia hujichochea dhidi ya mtu wanayedhani hamchi Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanyokao wanayastuka sana mambo hayo, nao watakatao wanachafuka sana kwa ajili yao wambezao Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walekevu watayastaajabia hayo, Na asiye na hatia atajiamsha juu ya mpotovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa haki wanashangaa wanapoona hayo, nao wasiokuwa na kosa wanachukizwa na wasiomwogopa Mungu.