Job 17:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo, mnyofu hushikilia msimamo wake, mtu atendaye mema huzidi kuwa na nguvu zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, waadilifu watazishika njia zao, nao wale wenye mikono safi wataendelea kupata nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mwenye haki ataishika njia yake, Naye mwenye mikono safi atazidi kupata nguvu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo, mnyofu hushikilia msimamo wake, mtu atendaye mema huzidi kuwa na nguvu zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, waadilifu watazishika njia zao, nao wale wenye mikono safi wataendelea kupata nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, waadilifu watazishika njia zao, nao wale wenye mikono safi wataendelea kupata nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mwenye haki ataishika njia yake, Naye mwenye mikono safi atazidi kupata nguvu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo, mnyofu hushikilia msimamo wake, mtu atendaye mema huzidi kuwa na nguvu zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mwenye kuishika njia yake ni mwongofu, naye mwenye mikono iliyo safi huongezeka nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mwenye haki ataishika njia yake, Naye mwenye mikono safi atazidi kupata nguvu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo, mutu wa haki anashika njia yake, mutu ambaye hajafanya ubaya kwa mukono wake anazidi kuwa na nguvu.