Job 18:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hofu kuu humtisha kila upande, humfuata katika kila hatua yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vitisho vimemtia hofu kila upande, na adui zake humwandama kila hatua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matisho yatamtia hofu pande zote, Na kumfukuza karibu na visigino vyake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hofu kuu humtisha kila upande, humfuata katika kila hatua yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vitisho vimemtia hofu kila upande na adui zake humwandama kila hatua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vitisho vimemtia hofu kila upande, na adui zake humwandama kila hatua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vitisho vitamtia hofu kutoka kila upande, Na kumfukuza karibu na visigino vyake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hofu kuu humtisha kila upande, humfuata katika kila hatua yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vitisho humstusha po pote na kuitia miguu yake woga, ikimbie sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matisho yatamtia hofu pande zote, Na kumfukuza karibu na visigino vyake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hofu kubwa inamutisha kila upande, inamufuata katika kila hatua yake.