Job 18:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikuwa na nguvu, lakini sasa njaa imembana; maafa yako tayari kumwangusha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Janga linamwonea shauku; maafa yako tayari kwa ajili yake aangukapo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nguvu zake zitaliwa na njaa, Na msiba utakuwa tayari kwa kusita kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikuwa na nguvu, lakini sasa njaa imembana; maafa yako tayari kumwangusha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Janga linamwonea shauku, maafa yako tayari kwa ajili yake aangukapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Janga linamwonea shauku; maafa yako tayari kwa ajili yake aangukapo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nguvu zake zitaliwa na njaa, Na msiba utakuwa tayari kwa kusita kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikuwa na nguvu, lakini sasa njaa imembana; maafa yako tayari kumwangusha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mabaya yanayomtaka ni yenye njaa ya kumla, mwangamizo uko tayari, upate kumwangusha,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nguvu zake zitaliwa na njaa, Na msiba utakuwa tayari kwa kusita kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikuwa na nguvu, lakini sasa njaa imemubana; hasara ziko tayari kumwangusha.