Job 18:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ugonjwa mbaya unakula ngozi yake, maradhi ya kifo hula viungo vyake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nayo yatakula sehemu ya ngozi yake; mzaliwa wa kwanza wa mauti atakula maungo yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utakula via vya mwili wake, Naam, mzaliwa wa kwanza wa mauti atavila via vyake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ugonjwa mbaya unakula ngozi yake, maradhi ya kifo hula viungo vyake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nayo yatakula sehemu ya ngozi yake; mzaliwa wa kwanza wa mauti atakula maungo yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nayo yatakula sehemu ya ngozi yake; mzaliwa wa kwanza wa mauti atakula maungo yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utakula via vya mwili wake, Naam, mzaliwa wa kwanza wa mauti atavila via vyake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ugonjwa mbaya unakula ngozi yake, maradhi ya kifo hula viungo vyake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
utavila viungo vya kuungia mwili ngozini mwake; mwana wa kwanza wa kifo atavila kweli hivyo viungo vyake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utakula via vya mwili wake, Naam, mzaliwa wa kwanza wa mauti atavila via vyake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ugonjwa mukali unakula ngozi yake, ugonjwa wa kifo unaharibu viungo vyake.