Job 18:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anangolewa katika nyumba aliyoitegemea, na kupelekwa kwa mfalme wa vitisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atang’olewa kutoka usalama wa hema lake, na kupelekwa kwa mfalme wa vitisho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atang'olewa katika hema yake aliyokuwa akiitumaini; Naye atapelekwa kwake mfalme wa utisho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anang'olewa katika nyumba aliyoitegemea, na kupelekwa kwa mfalme wa vitisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atang'olewa kutoka katika salama ya hema lake na kupelekwa kwa mfalme wa vitisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atang’olewa kutoka usalama wa hema lake, na kupelekwa kwa mfalme wa vitisho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atang'olewa katika hema yake aliyokuwa akiitumaini; Naye atapelekwa kwake mfalme wa vitisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anangolewa katika nyumba aliyoitegemea, na kupelekwa kwa mfalme wa vitisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atatolewa kwa nguvu hemani mwake, alimokimbilia, aendeshwe kufika kwake mfalme aliye mwenye mastusho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atang’olewa katika hema yake aliyokuwa akiitumaini; Naye atapelekwa kwake mfalme wa utisho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anaongolewa katika nyumba aliyotegemea, na kupelekwa kwa mufalme wa vitisho.