Job 18:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyumba yake tupu, wengine wataishi humo; madini ya kiberiti yametawanywa katika makao yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moto utakaa katika hema lake; moto wa kiberiti utamwagwa juu ya makao yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ambacho si chake kitakaa katika hema yake; Kiberiti kitamwagwa juu ya makazi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyumba yake tupu, wengine wataishi humo; madini ya kiberiti yametawanywa katika makao yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moto utakaa katika hema lake; moto wa kiberiti utamwagwa juu ya makao yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moto utakaa katika hema lake; moto wa kiberiti utamwagwa juu ya makao yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika hema yake hakuna kitakachobaki; Kiberiti kitamwagwa juu ya makazi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyumba yake tupu, wengine wataishi humo; madini ya kiberiti yametawanywa katika makao yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hemani mwake watakaa wasio wa ukoo wake, nayo mawe ya kiberiti yatamwagwa juu ya kao lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ambacho si chake kitakaa katika hema yake; Kiberiti kitamwagwa juu ya makazi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyumba yake tupu, wengine wataishi ndani; kiberiti kimetawanywa katika makao yake.