Job 18:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hayo ndio yanayowapata wasiomjali Mungu; hapo ndipo mahali pa wasiomjua Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika ndivyo yalivyo makao ya mtu mwovu; ndivyo palivyo mahali pake mtu asiyemjua Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika ndivyo yalivyo makazi ya wapotovu, Na hapa ni mahali pake asiyemjua Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hayo ndio yanayowapata wasiomjali Mungu; hapo ndipo mahali pa wasiomjua Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika ndivyo yalivyo makao ya mtu mwovu, ndivyo palivyo mahali pake mtu asiyemjua Mungu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika ndivyo yalivyo makao ya mtu mwovu; ndivyo palivyo mahali pake mtu asiyemjua Mungu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika ndivyo yalivyo makazi ya wapotovu, Na hapa ni mahali pake asiyemjua Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hayo ndio yanayowapata wasiomjali Mungu; hapo ndipo mahali pa wasiomjua Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo ndiyo yatakayoyapata makao ya mpotovu napo mahali pake yeye asiyemjua Mungu. Iyobu akajibu akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika ndivyo yalivyo makazi ya wapotovu, Na hapa ni mahali pake asiyemjua Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hayo ndiyo yanayowapata wasiomujali Mungu; pale ndipo pahali pa wasiomujua Mungu.