Job 18:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini unatufanya kama ng'ombe? Mbona unatuona sisi kuwa wapumbavu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini sisi tunafikiriwa kama wanyama, na kuonekana wajinga machoni pako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Twahesabiwa kuwa wanyama kwa sababu gani, Tena kuwa wanajisi machoni pako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini unatufanya kama ng'ombe? Mbona unatuona sisi kuwa wapumbavu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini sisi tunafikiriwa kama wanyama na kuonekana wajinga machoni pako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini sisi tunafikiriwa kama wanyama, na kuonekana wajinga machoni pako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Twahesabiwa kuwa wanyama kwa sababu gani, Tena kuwa wanajisi machoni pako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini unatufanya kama ng'ombe? Mbona unatuona sisi kuwa wapumbavu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tukiwaziwa kuwa kama nyama, ni kwa sababu gani? Mbona tunawaziwa kuwa wenye uchafu machoni penu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Twahesabiwa kuwa wanyama kwa sababu gani, Tena kuwa wanajisi machoni pako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini unatufanya kama ngombe? Mbona unatuona sisi kuwa wapumbafu?