Job 18:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe unajirarua mwenyewe kwa hasira zako. Kwani, dunia itaachwa tupu kwa ajili yako au miamba ihamishwe toka mahali pake?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe unayejirarua mwenyewe vipande vipande katika hasira yako, je, dunia iachwe kwa ajili yako wewe? Au ni lazima miamba iondolewe mahali pake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe ujiraruaye mwenyewe katika hasira yako, Je! Dunia itaachwa kwa ajili yako wewe? Au jabali litaondolewa mahali pake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe unajirarua mwenyewe kwa hasira zako. Kwani, dunia itaachwa tupu kwa ajili yako au miamba ihamishwe toka mahali pake?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe unayejirarua mwenyewe vipande vipande katika hasira yako, je, dunia iachwe kwa ajili yako wewe? Au ni lazima miamba iondolewe mahali pake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe unayejirarua mwenyewe vipande vipande katika hasira yako, je, dunia iachwe kwa ajili yako wewe? Au ni lazima miamba iondolewe mahali pake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe ujiraruaye mwenyewe katika hasira yako, Je! Dunia itaachwa kwa ajili yako wewe? Au jabali litaondolewa mahali pake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe unajirarua mwenyewe kwa hasira zako. Kwani, dunia itaachwa tupu kwa ajili yako au miamba ihamishwe toka mahali pake?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe unajirarua mwenyewe kwa ukali wako? Je? Kwa ajili yako wewe nchi itaachwa, isikae mtu? Au mwamba utaondoka mahali, ulipokuwa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe ujiraruaye mwenyewe katika hasira yako, Je! Dunia itaachwa kwa ajili yako wewe? Au jabali litaondolewa mahali pake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unajirarua mwenyewe kwa hasira zako. Dunia itaachwa tupu kwa ajili yako au mawe yahamishwe toka pahali pake?