Job 18:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Naam, mwanga wa mtu mwovu utazimishwa; mwali wa moto wake hautangaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Taa ya mwovu imezimwa, nao mwali wa moto wake umezimika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, mwanga wa waovu utazimika, Wala mwali wa moto wake hautang'aa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Naam, mwanga wa mtu mwovu utazimishwa; mwali wa moto wake hautang'aa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Taa ya mwovu imezimwa, nao mwali wa moto wake umezimika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Taa ya mwovu imezimwa, nao mwali wa moto wake umezimika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, mwanga wa waovu utazimika, Wala muali wa moto wake hautang'aa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Naam, mwanga wa mtu mwovu utazimishwa; mwali wa moto wake hautangaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli mwanga wake asiyemcha Mungu utazima, nazo cheche za moto wake hazitaangaza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, mwanga wa waovu utazimika, Wala mwali wa moto wake hautang’aa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli, mwangaza wa mutu mwovu utazimishwa; ulimi wa moto wake hautaangaa.