Job 18:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyumbani kwake mwanga ni giza, taa inayomwangazia itazimwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanga kwenye hema lake umekuwa giza; taa iliyo karibu naye imezimika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanga hemani mwake utakuwa giza, Nayo taa iliyo juu yake itazimishwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyumbani kwake mwanga ni giza, taa inayomwangazia itazimwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanga hemani mwake umekuwa giza; taa iliyokaribu naye imezimika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanga hemani mwake umekuwa giza; taa iliyo karibu naye imezimika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanga hemani mwake utakuwa giza, Nayo taa iliyo juu yake itazimwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyumbani kwake mwanga ni giza, taa inayomwangazia itazimwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanga utakuwa giza hemani mwake, nacho kinara chake kilichomo kitazima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanga hemani mwake utakuwa giza, Nayo taa iliyo juu yake itazimishwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika nyumba yake mwangaza ni giza, taa inayomwangazia itazimishwa.