Job 18:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatua zake ndefu zitafupishwa; mipango yake itamwangusha chini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nguvu za hatua zake zimedhoofishwa; hila zake mwenyewe zinamwangusha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hatua zake za nguvu zitasongwa, Na shauri lake mwenyewe litamwangusha chini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatua zake ndefu zitafupishwa; mipango yake itamwangusha chini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nguvu za hatua zake zimedhoofishwa; shauri lake baya litamwangusha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nguvu za hatua zake zimedhoofishwa; shauri lake baya litamwangusha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hatua zake za nguvu zitasongwa, Na shauri lake mwenyewe litamwangusha chini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatua zake ndefu zitafupishwa; mipango yake itamwangusha chini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miguu yake iliyokwenda kwa nguvu itasongeka, mashauri yake, aliyowapa wengine, yatambwaga chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hatua zake za nguvu zitasongwa, Na shauri lake mwenyewe litamwangusha chini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatua zake ndefu zitafupishwa; mipango yake itamwangusha chini.