Job 19:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amenivunja pande zote, nami nimekwisha; tumaini langu amelingoa kama mti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amenibomoa kila upande hadi nimeisha; ameling’oa tegemeo langu kama mti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amenibomoa pande zote, nami nimetoweka; Na tumaini langu ameling'oa kama mti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amenivunja pande zote, nami nimekwisha; tumaini langu ameling'oa kama mti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amenibomoa kila upande hadi nimeisha, ameling'oa tegemeo langu kama mti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amenibomoa kila upande hadi nimeisha; ameling’oa tegemeo langu kama mti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amenibomoa pande zote, nami nimetoweka; Na tumaini langu ameling'oa kama mti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amenivunja pande zote, nami nimekwisha; tumaini langu amelingoa kama mti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu amenibomolea pande zote, sina budi kujiendea, nacho kingojeo changu ameking'oa, kama ni mti tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amenibomoa pande zote, nami nimetoweka; Na tumaini langu ameling’oa kama mti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amenivunja pande zote, nami nimekwisha; tumaini langu ameliongoa kama muti.