Job 19:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Majeshi yake yanijia kwa pamoja; yametengeneza njia ya kuja kwangu, yamepiga kambi kuizunguka nyumba yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Majeshi yake yananisogelea kwa nguvu; yamenizingira, yamepiga kambi kulizunguka hema langu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Majeshi yake husongea pamoja, na kunipandishia njia yao, Na kupiga marago kuizunguka hema yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Majeshi yake yanijia kwa pamoja; yametengeneza njia ya kuja kwangu, yamepiga kambi kuizunguka nyumba yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Majeshi yake yananisogelea kwa nguvu, yamenizingira, yamepiga kambi kulizunguka hema langu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Majeshi yake yananisogelea kwa nguvu; yamenizingira, yamepiga kambi kulizunguka hema langu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Majeshi yake husongea pamoja, na kunipandishia njia yao, Na kupiga kambi kuizunguka hema yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Majeshi yake yanijia kwa pamoja; yametengeneza njia ya kuja kwangu, yamepiga kambi kuizunguka nyumba yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vikosi vyake vikaja, vikutanie pamoja, vikajitengenezea njia ya kufika kwangu, vikayapiga makambi yao, yanizunguke hemani mwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Majeshi yake husongea pamoja, na kunipandishia njia yao, Na kupiga marago kuizunguka hema yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Majeshi yake yananifikia kwa pamoja; yametengeneza njia ya kuja kwangu, yamepiga kambi kuizunguka nyumba yangu.