Job 19:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu amewaweka ndugu zangu mbali nami; rafiki zangu wakuu wamenitoroka kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Amewatenga ndugu zangu mbali nami; wale tunaojuana nao wamefarakana nami kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amewaweka ndugu zangu mbali nami, Na wanijuao wametengwa nami kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu amewaweka ndugu zangu mbali nami; rafiki zangu wakuu wamenitoroka kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Amewatenga ndugu zangu mbali nami, wale tunaojuana nao wamefarakana nami kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Amewatenga ndugu zangu mbali nami; wale tunaojuana nao wamefarakana nami kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amewaweka ndugu zangu mbali nami, Na wanijuao wametengwa nami kabisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu amewaweka ndugu zangu mbali nami; rafiki zangu wakuu wamenitoroka kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndugu zangu akawaweka mbali, wasije kwangu, nao wenzangu wa kujuana nao wakanigeukia kuwa kama wageni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amewaweka ndugu zangu mbali nami, Na wanijuao wametengwa nami kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu amewaweka wandugu zangu mbali nami; warafiki zangu wakubwa wamenitoroka kabisa.