Job 19:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jamaa zangu na marafiki hawanisaidii tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa jamaa zangu wameenda mbali; rafiki zangu wamenisahau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wa mbari yangu wamekoma, Na rafiki zangu niwapendao wamenisahau.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jamaa zangu na marafiki hawanisaidii tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa jamaa yangu wamekwenda mbali, rafiki zangu wamenisahau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa jamaa yangu wamekwenda mbali; rafiki zangu wamenisahau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wa ukoo wangu wamekoma, Na marafiki zangu niwapendao wamenisahau.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jamaa zangu na marafiki hawanisaidii tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio wa ukoo wangu nao wakapotea, nao rafiki zangu wema wakanisahau.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wa mbari yangu wamekoma, Na rafiki zangu niwapendao wamenisahau.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wandugu zangu na warafiki hawanisaidii tena.