Job 19:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wageni nyumbani mwangu wamenisahau; watumishi wangu wa kike waniona kuwa mgeni. Mimi nimekuwa kwao mtu wasiyemjua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wageni wangu na wajakazi wangu wananiona kama mgeni; wananitazama kama mgeni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaao nyumbani mwangu, na vijakazi vyangu, wanihesabu kuwa mgeni; Mimi ni mgeni machoni pao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wageni nyumbani mwangu wamenisahau; watumishi wangu wa kike waniona kuwa mgeni. Mimi nimekuwa kwao mtu wasiyemjua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wageni wangu na watumishi wangu wa kike wananiona kama mgeni, wananitazama kama mgeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wageni wangu na watumishi wangu wa kike wananiona kama mgeni; wananitazama kama mgeni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaao nyumbani mwangu, na vijakazi vyangu, wanihesabu kuwa mgeni; Wageni nyumbani mwangu, na vijakazi wangu, wanihesabu kuwa mgeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wageni nyumbani mwangu wamenisahau; watumishi wangu wa kike waniona kuwa mgeni. Mimi nimekuwa kwao mtu wasiyemjua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliokaa pamoja na watumishi wa kike nyumbani mwangu wao ndio wanaoniwazia kuwa mgeni, machoni pao nikageuka kuwa mtu asiye wa kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaao nyumbani mwangu, na vijakazi vyangu, wanihesabu kuwa mgeni; Mimi ni mgeni machoni pao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wageni katika nyumba yangu wamenisahau; wajakazi wangu wananiona kuwa mugeni. Mimi nimekuwa kwao mutu wasiyemujua.