Job 19:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimekuwa kinyaa kwa mke wangu; chukizo kwa ndugu zangu mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pumzi ya kinywa changu ni kinyaa kwa mke wangu; nimekuwa chukizo mno kwa ndugu zangu mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pumzi zangu ni kama za mgeni kwa mke wangu, Nami ni machukizo kwa ndugu zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimekuwa kinyaa kwa mke wangu; chukizo kwa ndugu zangu mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pumzi ya kinywa changu ni kinyaa kwa mke wangu, nimekuwa kitu cha kuchukiza mno kwa ndugu zangu mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pumzi ya kinywa changu ni kinyaa kwa mke wangu; nimekuwa chukizo mno kwa ndugu zangu mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pumzi zangu zimekuwa kinyaa kwa mke wangu, Nami ni machukizo kwa ndugu zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimekuwa kinyaa kwa mke wangu; chukizo kwa ndugu zangu mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pumzi zangu zinamchukia mke wangu, mnuko wangu mbaya unawachukia, niliowazaa mwenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pumzi zangu ni kama za mgeni kwa mke wangu, Nami ni machukizo kwa ndugu zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimekuwa harufu mbaya kwa muke wangu; chukizo kwa wandugu zangu wa tumbo.